Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Uwazi na Ukweli: Kitabu cha Tano
Rais wa watu anazungumza na wananchi
Kimeandikwa na Benjamin William Mkapa
Mchapishaji Mkuki na Nyota Publishers
Mwaka 2003
sw
Hiki ni kitabu cha Tano na cha mwisho katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli. Mfululizo huu wenye hotuba za kila mwisho wa mwezi za Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin W. Mkapa, una malengo makuu matatu:Kwanza ni kufanya hotuba hizo kuwa chanzo kimojawapo cha elimu ya ziada, hasa kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, sababu zake na mwelekeo wa mambo hayo. Pili, hotuba hizo zilikuwa sehemu mojawapo ya uwajibikaji wa Rais kwa Wananchi, kwani alikuwa na wajibu wa kuwajulisha yale aliyokuwa akifanya na sababu zake. Tatu, hotuba hizo ni mwendelezo wa juhudi za awamu zote za uongozi wa nchi yetu kuimarisha misingi ya utawala bora. The title which translates as "Truth and openess : the people's president talks to the people" is a collection of President Mkapa's speeches which address key development issues and his vision for Tanzania.
...
link: https://mkukinanyota.com/product/uwazi-na-ukweli-5/
...
ISBN: 9987449794
Shukrani kwa Mkuki na Nyota Publishers
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.