View this book in English The History of Kiziba and Its Kings
Kuhusu Waandishi
Kimetafsiriwa na G.B. Kamanzi na kuhaririwa na Peter R. Schmidt
Translator: G.B. Kamanzi
Editor: Peter R. Schmidt
Galasius B. Kamanzi ni msomi wa siku nyingi wa historia ya Kiziba na utamaduni wa Kihaya. Ni mwalimu na mtumishi wa serikali mstaafu. Ana shahada ya kwanza ya Ualimu wa Uchumi na Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na Stashahada ya Juu ya Uongozi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe. Ni mtunzi-mwenza wa Folktales from Buhaya.
Peter R. Schmidt ni Profesa Mstaafu wa Anthrolopojia katika Chuo Kikuu cha Florida na ni Profesa wa Kuazima wa Anthropolojia Akiolojia katika Chuo Kikuu cha Pretoria, Afrika ya Kusini. Ametunga na/au kuhariri vitabu 15 kuhusu Historia ya Afrika, simulizi za mdomo, urithi na historia ya kuchimba, vingi kati ya hivyo vikihusu Wahaya.
African studies, Anthropology, Culture, Culture/People/Places, Democracy, East Africa, English, Forthcoming, Geography, History, Language, Politics
...
Kimetafsiriwa na
G.B. KamanziISBN: 9987083692
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
Kiungo cha Chanzo https://mkukinanyota.com/product/historia-ya-kiziba-na-wafalme-wake/
Tafuta
vitabu vya bure kuhusu Ukweli
,
vitabu vya bure kuhusu Afrika
,
vitabu vya bure kuhusu Historia
,
vitabu vya bure kuhusu Kiswahili
au
vitabu vya bure kuhusu Tanzania
Download free pdfs
eVitabu vya bure kwa somo
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana:
Browse all
No Books Found
Based on the filters you selected, there are currently no books.