You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Kibena and the Math Rats – Heka Heka za Panya
Counting ones, tens, hundreds, and thousands - kuhesabu mamoja, makumi, mamia, na maelfu
Kimeandikwa na Ubongo Kids
Mchapishaji Mkuki na Nyota
The rats have destroyed Mzee Kigo’s corns. Can Kibena use ones, tens, hundreds and thousands to move all the rats to a new home? Panya wameharibu mazao ya Mzee Kigo. Je, Kibena ataweza kuwahamisha panya wote kwa kutumia mamoja, makumi, mamia na maelfu? Ubongo Kids Books help children to learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun activities. Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.
...
ISBN: 9789987083053
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all