Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Nukuu za Mwalimu Julius K. Nyerere
Kutoka Kwenye Hotuba na Maandiko
Kimeandikwa na
Mchapishaji Mkuki na Nyota Publishers Limited
Mwaka 2015
sw
Kurasa 261
Julius Kambarage Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwanzilishi wa taifa hili. Aliingia madarakani kwa kura, uchaguzi wa kidemokrasia uliofanyika mwaka 1961, na alibaki madarakani kwa zaidi ya miongo miwili. Mwalimu Nyerere alikuwa mtu mwenye kipawa na maadili. Alikuwa shujaa wa Afrika, mzalendo, aliyekuwa na kipaji cha kuzungumza, mwenye fikra imara, mwanadiplomasia na juu ya yote, mwalimu. Alichangua kuitwa ‘mwalimu’. Akiwa madarakani, alitoa mamia ya hotuba; baadhi ziliandaliwa na nyingine bila kuandaliwa. Taasisi ya Mwalimu Nyerere (aliyoianzisha Mwalimu Nyerere mwenyewe, mwaka 1996) imekusanya hotuba na maandiko yake kwenye vitabu. Nukuu zilizomo katika kitabu hiki, ni zile tu zilizomo katika mfululizo wa vitabu vya Uhuru na mihadhara yake ya chuo kikuu. Zimepangwa katika dhamira zifuatazo; Falsafa, Azimio, Vijiji vya Ushirika, Kujitegemea, Umoja na Mshikamano, Ujamaa, Siasa za ndani, Siasa za Nje, Demokrasia, Elimu, Uongozi, Serikali, Bunge, Ulinzi na Usalama, Jamii na Uchumi.
...
ISBN: 9987082270
Shukrani kwa Mkuki na Nyota Publishers Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.