Urithi wa Wanafisi
Published Year: 2016

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/urithi-wa-wana-fisi/ Abeli Mwanga Children Swahili Titles
Summary: Sasa walikuwa watoto yatima.Kulikuwa hakuna wosia wa kusoma,kwa hiyo watoto hawakujua kuwa wameachiwa urithi wa shamba na nyumba. Je,Baba yao mdogo atawapa urithi huo kwa hiari kama alivyoahidi?Ni nini kitatokea kwa wanafisi? Soma hadithi hii uweze kujua mambo Fisi Madoa aliyowatendea watoto wa kaka yake.