Maji Bila Ukomo
Published Year: 2014

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/maji-bila-ukomo/ Children Swahili Titles
Summary: Maji Bila Ukomo ni kitabu cha maarifa kinachoelezea mambo mengi kuhusu maji na matumizi yake nyumbani, viwandani, katika kilimo, katika burdani na katika usafiri.
- Maji ni mangavu
- Hayana rangi na yanapitisha mwanga
- Maji hayana ladha
- Maji hayana harufu.