You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Wacha Mungu wa Bibi Kilihona
Kimeandikwa na Gabriel Ruhumbika
Mchapishaji E & D Vision Pubishing Limited
Mwaka 2014
sw
Kurasa 387
Wacha Mungu wa Bibi Kiliona ni riwaya inayotumia utafiti mkubwa na yakinifu kutupia mwanga historia ya jamii ya mtanzania na Mwafrika tangu na kabla ya ukoloni hadi leo hii.Mateso ya mtu mweusi kwenye historia yake mapambano yake,shida,mafanikio na matumaini yake tangu ajitawale,ndiyo maudhui ya hadithi ya Bibi Kilihona na WachaMungu” wake wawakilishi wanne na wajukuu wake wengi wa kiladini,rangi,taifa na kabila,mithili ya jamii ya leo ya Watanzania na Waafrika wote. Baada ya Bibi Kilihona kufariki mwaka wa 1995,akiwa na umri wa miaka 113,aliwatokea“WachaMungu”wake na kuwataka waanzishe dini mpya zitakazowaelekeza waumini wa dini zote nchini kuishi kwa pamoja kwa amani na kupendana na kuheshimiana.Aliwaambia “Wacha Mungu wa dini zote na wana wapenzi wa Mungu Muumba wetu sote”Walipoanzisha hizo dini wakauawa wote na magaidi! Hadithi hii ya kihistoria ya kusisimua inamtaka msomaji wa Kiafrika ayafikirie upya na kwa makini mambo mengi muhimu kwenye maisha yake na ya jamii yake ambayo hayaendi sawa,kubwa kati yake likiwa ni dini yake kwenye nchi yenye dini nyingi na katika dunia ya leo.Pia,hadithi inawatukuza “bibi na mama wote wa Mwafrika’’kwa hekima na utu-mwema mkubwa wa Bibi Kilihona licha ya maovu aliyotendewa maishani mwake! Niseme tu Kwamba nimevutiwa sana na riwaya hii,na binafsi ningefurahi kama ingesomwa na kila mwafrika anayeweza kusoma,na ingetafsiriwa katika lugha nyingi,na kusomwa katika shule zote
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/wacha-mungu-wa-bibi-kiliona/
...
ISBN: 9987735118
Shukrani kwa E & D Vision Pubishing Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all