Dar es Salaam kwa Baba
A Long Way to Baba Kiswahili version
Published Year: 1999

Language: sw
Details: illustrator: Elizabeth Andrew link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/dar-es-salaam-kwa-baba/ Categories: ["Juvenile Nonfiction / Language Arts / General", "Juvenile Nonfiction / Foreign Language Study / General"] Cambridge Reading Routes is a reading programme for the first seven years of schooling in South Africa.
Summary: Baba anafanya kazi Dar es Salaam. Sisi tunaishi na mama hapa kijijini Farka. Ni mwendo wa saa chache kutoka mji wa Kondoa. Leo Mama amepokea barua.Imetoka kwa Baba.Anasema kwa furaha.Baba anataka twende Dar es salaam.