You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Lugha ya Alama ya Tanzania - Tanzanian Sign Language
Kitabu cha Kwanza - Book One
Publisher National Deaf Children's Society
Pages 68
Download
18.7 MB
Wasiliana na mtoto wako kiziwi - Communicating with your deaf child Kitabu hiki ni kwa ajili ya wazazi, watoa huduma, walezi na familia wenye uelewa wa msingi katika lugha ya Alama ya Tanzania, ambao wangependa kuongeza ujuzi wa lugha ya alama katika kuwasiliana na watoto wao viziwi kwa kutumia sentensi na tungo rahisi. Mada za kitabu hiki zimezingatia yale yaliyoelezwa na wazazi wa watoto viziwi kutoka taasisi washirika wetu tulipowauliza masuala gani wangependa kujadili na watoto wao viziwi katika ngazi ya kifamilia, kijamii na maisha ya kijamii. Tungependa kitabu hiki kiweze; • Kuzijengea uwezo familia katika kuboresha ujuzi wao katika mawasiliano • Kuhakikisha watoto viziwi wanajumuishwa katika maisha ya kifamilia na katika jamii zao. • Kuwajengea watoto viziwi uwezo wa kueleza maoni yao, hisia zao na kuwafundisha stadi za kijamii wanazohitaji katika maisha ya kujitegemea. • Kuwawezesha watoto viziwi kuonesha uwezo wao. This book is for parents, carers, guardians and families with a basic knowledge of Tanzanian Sign Language (TSL) who want to develop their TSL skills to communicate at a more advanced level with their deaf children using simple phrases and sentences. The chapters are based on what the parents of deaf children at our partner organisations told us when we asked them about the areas of family, community and social life they wanted to discuss with their children. We want this book to: • Empower families to improve their communication skills • Ensure deaf children are included in their family life and in their communities • Empower deaf children to express their own views and values and develop the social skills they need to lead independent lives • Allow deaf children to fulfill their potential
...
National Deaf Children's Society (UK) developed this sign language books for Tanzania to help families communicate with their deaf child and ensure deaf children are included in family and community life.
...
Thank you to National Deaf Children's Society, UK
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all