View this book in English Don't Fly Too Close to the Sun
Usiruke Karibu Sana na Jua
Hadithi ya Ikarus
Kimeandikwa na Brighid McCarthy
Mchapishaji Maktaba.org
Mwaka 2023
sw
Kurasa 16
Pakua 3.7 MB
Usimulizi wa hadithi ya Ugiriki wa Kale ya Icarus na Daedalus, kijitabu hiki kina michoro mipya iliyotengenezwa kwa mtindo wa ufinyanzi wa kale! Kitabu hiki kifupi kinaeleza asili ya maneno "usiruke karibu sana na jua," hadithi kuhusu uvumbuzi, tamaa, kiburi na utii pamoja na picha za nyekundu na nyeusi. Daedalus na mtoto wake Icarus wamenaswa kwenye Kisiwa cha Krete na Mfalme mwovu Minos. Je, wataweza kutoroka? Au watapoteza kila kitu katika jaribio lao?
...
File hii ni ndogo kwa ajili ya mitandao isiyo na nguvu. Ukitaka ubora wa juu, pakua hapa (MB 27)
...
Shukrani kwa Maktaba.org
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.