Diwani ya Mloka
Written by Charles Mloka
Publisher Mkuki na Nyota Publishers
Published 2002
sw
Pages 92
Diwani ya Mloka ni mkusanyiko wa mashairi yanayozungumzia masuala mbalimbali ya kijamii na yanayomwandaa msomaji katika misingi bora ya kimaisha; kuchochea hamasa na juhudi za kuendeleza Kiswahili; na kuhifadhi mashairi yanayoakisi migogoro mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchumi iliyokuwepo wakati wa utawala wa chama kimoja nchini Tanzania. “Hatua hii ya Mloka ni ya kufaa kuigwa…”. A collection of Swahili poems by Charles Mloka.
...
Classic, Language, Literature, Poetry, Swahili link: https://mkukinanyota.com/product/diwani-ya-mloka/
...
ISBN: 9987686443
Thank you to Mkuki na Nyota Publishers
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.