Diwani ya Mloka
Published Year: 2002

Language: sw
Details: Classic, Language, Literature, Poetry, Swahili link: https://mkukinanyota.com/product/diwani-ya-mloka/
Summary: Diwani ya Mloka ni mkusanyiko wa mashairi yanayozungumzia masuala mbalimbali ya kijamii na yanayomwandaa msomaji katika misingi bora ya kimaisha; kuchochea hamasa na juhudi za kuendeleza Kiswahili; na kuhifadhi mashairi yanayoakisi migogoro mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchumi iliyokuwepo wakati wa utawala wa chama kimoja nchini Tanzania. “Hatua hii ya Mloka ni ya kufaa kuigwa…”. A collection of Swahili poems by Charles Mloka.