You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Wasifu Wa Siti Binti Saad
Written by Shaaban Robert
Publisher Mkuki na Nyota
sw
Pages 76
Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi na mshairi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni jambo lililosababishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabu vya sheikh Shabaan Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri wa chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa urithi wa utamaduni watu. Kwa kuvichapisha vitabu vya Marehemu Sheikh Shaaban Robert, tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana, kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.
...
Culture, Language, Literature, Novel, Secondary, Swahili, Textbook, University
...
ISBN: 9976973098
Thank you to Mkuki na Nyota
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all