Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Lala Salama, Mbwa Mwitu Mdogo
Kimeandikwa na Ulrich Renz
Mchapishaji Sefa
Mwaka 2015
Kurasa 28
Bilingual children's book, age 2-4 and up, English - Swahili Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night - and unexpectedly encounters some friends... "Sleep Tight, Little Wolf" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.

Kitabu cha picha cha lugha mbili, Kiingereza - Swahili Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50. Na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwekanazo.

...
ISBN: 3739926988
Shukrani kwa Sefa
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.