Soma kitabu hiki kwa Kiswahili Fred Fact Doesn't Fall for Fake News
Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Fred Fact Haamini Habari Ghushi
Kimeandikwa na
Mchoraji Luiz Fernando Menezes
Mchapishaji Aos Fatos, International Fact-Checking Network at the Poynter Institute
Mwaka 2018
en
Kurasa 10
Pakua
10.9 MB
Kuwa kama Fred. Hapa kuna vidokeszo saba vya kukusaidia. Mara ngapi umesoma kitu halafu ukajiuliza:"Hizi ni habari ghushi?" Kuna habari nyingi, vyanzo vingi na watu wengi wanaoanzisha na kuenea taarifa, na ni vigumu sana kujua ni gani ya ukweli na gani isiyo ya ukweli kwenye mtandao.
...
Imetafsiriwa na Profesa Kimani Njogu. Kazi ya kutafsiri nakala hii imewezeshwa na Mashirika ya Code for Kenya na PesaCheck. Kitabu hiki cha katuni kilitolewa na Jukwaa la Kuangalia Ukweli la Brazil Aos Fatos, kwa ushirikiano na Mtandao wa Kimataifa wa Kuangalia Ukweli katika Poynter Institute
...
Kimetafsiriwa na
Kimani Njogu
Shukrani kwa Aos Fatos, International Fact-Checking Network at the Poynter Institute
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.