Mwongozo wa Uandaaji wa Miradi ya Kilimo cha Umwagiliaji Maji Mashambani Ndani ya Mpango wa Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya

Faster download
Pakua
4.5 MB

Published Year: 2004

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Mwongozo huu unaelekeza njia ya haraka na ya vitendo katika kuandaa skimu za umwagiliaji chini ya Mpango wa Kuendeleza Kilimo cha Umwagiliaji katika Wilaya. Mwongozo ulikusudiwa kwa viongozi wa Wilaya lakini pia wakulima na viongozi wa vijiji wanaotaka kubuni na kujenga miradi yao watafaidika pia.