View this book in English Participatory Rangeland Resource Mapping in Tanzania
Uchoraji Shirikishi wa Ramani ya Rasilimali za Nyanda za Malisho nchini Tanzania
Mwongozo wa Uwandani wa kusaidia Kupanga Mpango na Usimamizi wa Nyanda za Malisho ikiwemo Kupanga Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji
Illustrator Aldo di Domenico
Publisher Sustainable Rangeland Management Project (SRMP)
Published 2016
sw
Pages 106
Download 4.7 MB
Uchoraji shirikishi wa ramani ya rasilimali za nyanda za malisho, kama ulivyofafanuliwa katika mwongozo huu, ni zana muhimu kutumika katika mchakato wa kuandaa mpango wa matumizi ya ardhi ya kijiji katika vijiji vya wafugaji na wakulima wafugaji. Uchoraji huu shirikishi unaboresha uelewa wa matumizi, usimamizi na upataji wa rasilimali ya nyanda za malisho na kutatua utata uliofafanuliwa hapo juu. Uchoraji wa ramani sio kwamba unatoa taarifa za kutosha tu kwa kipindi cha muda mfupi, bali pia unaanzisha mchakato ambao unaboresha ushiriki wa wafugaji na wakulima wafugaji katika kufanya maamuzi ya kupanga mpango wa matumizi ya ardhi kijijini. Hali hii inachangia katika kujisikia vizuri katika umiliki miongoni mwa watumiaji wa ardhi ya nyanda za malisho dhidi ya mchakato wa kupanga mpango ya matumizi bora ya ardhi ya kijiji , na matokeo yake kuboresha motisha ya kuwekeza katika utekelezaji wa mipango hiyo, na uwezekano wa kupunguza migogoro ya matumizi ya ardhi.
...
ISBN: 978-92-95105-24-9
Thank you to Mradi Endelevu wa Usimamizi wa Nyanda za Malisho (‘SRMP’) nchini Tanzania
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.