Mwongozo wa Uanzishwaji na Usimamizi wa Hifadhi za Nyuki na Manzuki

Faster download

Published Year: 2021

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Idara ya Misitu na Nyuki, Mji wa Serikali Mtumba, Mtaa wa Waziri Mkuu, S.L.P 1351, DODOMA.

Summary: Mwongozo huu umejikita hasa kwenye: hatua za uanzishaji na usimamizi wa Hifadhi za Nyuki na manzuki ukijumuisha; ucha guzi wa eneo kwa ajili ya kuanzisha manzuki, maandalizi ya mpango wa usimamizi, aina za manzuki na uwezo wa kuhimili makundi ya nyuki kwa eneo, ukaguzi wa manzuki, kuzuia na kudhibiti wadudu wa nyuki, kuzuia magonjwa ya nyuki, utundi kaji wa mizinga ya nyuki, ulinzi wa manzuki dhidi ya moto na utunzaji wa kumbukumbu.