View this book in English To Clean a Creek
Kusafisha Kijito
Imechochewa na Kisa Halisi Cha Maisha
Kimeandikwa na Olivia Wood
Mchoraji Francine Tuczynski
Mchapishaji Ashoka, WorldReader
Mwaka 2021
sw
Kurasa 17
Pakua
2.5 MB
“Kusafisha Kijito”, ni hadithi ambayo imechochewa na kisa halisi cha maisha ya mvulana mdogo kutoka taifa la Brazili aliyeshangazwa na wingi wa taka ndani na kando kando pa mto uliopo karibu na kwao. Akidhamiria kuchukua hatua, aliwahimiza wanajamii kushirikiana katika kusafisha mto na kurejesha urembo wake wa asili.
...
Kitabu hiki cha picha cha watoto ni tukio la ushirikiano baina ya Ashoka na shirika la Worldreader. Kinalenga kuwahamasisha watoto kila mahali kuwa wanamageuzi na kuwahimiza watu wazima kuwaunga mkono katika safari hiyo.
...
Kimetafsiriwa na
Mourice Wabwire
Shukrani kwa Ashoka
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.