Usimamizi wa Mazingira Kenya: Kesi ya Mfumo wa Kiikolojia wa Mau Mara
Ufupisho wa Nakala Inayofahamika ya Ufahamu wa Jamii ya Umma
Faster downloadPublished Year: 2015

Language: sw
Summary: Kijitabu hiki kinakupahabari kuhusu haki zako, majukumu na nafasi zilizomo za umma kushiriki kwenye usimamizi wa mazingira hasa kuhusiana na maji, misitu na ardhi kwenye mfumo wa Kiikolojia wa Mau-Mara. Kijitabu hiki pia kinakujulisha kuhusu vipengee vya kisheria vinavyoendeleza uwezo wa kupata ardhi kwa wote, wakiwemo wanawake na watu wenye umri wa kati.