Haki za Uraia Nchini Kenya
Faster downloadPublished Year: 2018

Language: sw
Summary: Kipengele cha 15 katika azimio la ulimwengu juu ya haki za binadamu kinasema kuwa: Kila mtu anahaki ya kuwa raia na kuwa hakuna atakayenyimwa uraia kiholela au kunyimwa haki ya kubadilisha uraia wake. Jinfunze:
- Ni mambo yapi ninayostahiki kama raia wa Kenya?
- Ni nani ambaye ni raia au anaweza kuwa raia wa Kenya?
- Serekali inaweza kuninyima stakabadhi za kujitambulisha?
- Ni kwanini mtoto wangu anahitajia cheti cha kuzaliwa?
- Ni kwanini nahitajia kitambulisho?
- Ninawezaje kupata paspoti?
- Kwa nini nahitaji cheti cha kifo?
- na zaidi!