Elimu katika Shule za Sekondari kwa Vijana nchini Tanzania
Toleo Fupi na Rahisi
Faster downloadPublished Year: 2017

Language: sw
Details: Toleo hili linaonyesha matokeo ya utafiti wa Human Rights Watch kwa kifupi, lugha rahisi na picha (Easy to Read Version) Soma muhtasari wa repoti Soma reporti nzima kwa Kiingerenza
Summary: Kijitabu hiki kinaeleza changamoto zinazowakabili vijana wa shule za sekondari, haswa wasichana, kwa lugha rahisi & michoro.