Kuzuia Adhabu ya Viboko Shuleni
Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Faster downloadPublished Year: 2017

Language: sw
Details: Kimechapishwa na Mpango wa Kimataifa wa Kukomesha Adhabu zote za Viboko kwa Watoto
Summary: Hatua zinapochukuliwa ili kuzuia adhabu ya viboko shuleni, kuna maswali mahususi ambayo huibuka mara kwa mara. Kijitabu hiki kinatoa majibu ya baadhi ya maswali hayo na kinanuia kuweka wazi maswala makuu yanayohusika.