Ukweli Ni Kitu Gani?
Tujibu Swali La Pilato
Publisher CreateSpace Independent Publishing Platform
Published 2018
sw
Pages 200
Kitabu hiki, "Ukweli ni Kitu Gani," kinatondoa [fafanua kwa umakini] dhana Ukweli, kwa mifano tosha kumsaidia msomaji kuelewa anachosoma. Nimefafanua shida zinazotokea katika kufikiri na kuongeza hata kuleta mizozo na mitafaruku katika jamii. Sehemu ya Hairakia ya Ukweli imeeleza vema mlinganisho wa vipengee vya ukweli kwa namna ambayo sidhani kama umepata kuiona kwa Kiswahili. Nimeandika pia kitabu kingine kwa mtindo kama huu, na wasomaji wamekipenda. Naamini nawe utakipenda kitabu hiki na kitakuwa cha manufaa. Waweza kunipa maoni yako kupitia: sebba-mn@live.com
...
ISBN: 1724920464
Thank you to CreateSpace Independent Publishing Platform
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Donated by
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.