Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Alama ya Mkristo
Kimeandikwa na Francis A. Schaeffer
Mchoraji Else Kristine Nillsen
Mchapishaji Intervarsity Press, Church of God Swahili Literature Ministry & Soma Biblia
Mwaka 1992
sw
Kurasa 53
Tangu zamani watu wametumia alama za aina mbalimbali kuonyesha wao ni wakristo. Wakristo hawakuonyesha ulimwengu mfano bora siku zote. Mara nyingi mno wameshindwa kuonyesha uzuri wa upendo, uzuri wa Kristo na uatakatifu wa Mungu. Na ulimwengu umewapa kisogo. Kati ya vitabu vyote vya Francis Schaeffer tuliona kwamba Alama ya Mristo unahitajika sana hapa Afrika Mashariki. Kwahiyo tulipenda kulitafsisi andiko hilo.
...
Kimetafsiriwa na
Ester Madsen & James E. Sharp
ISBN: 9966986804
Shukrani kwa James E. Sharp
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Kimechangiwa na
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.