Alama ya Mkristo

Published Year: 1992

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Tangu zamani watu wametumia alama za aina mbalimbali kuonyesha wao ni wakristo. Wakristo hawakuonyesha ulimwengu mfano bora siku zote. Mara nyingi mno wameshindwa kuonyesha uzuri wa upendo, uzuri wa Kristo na uatakatifu wa Mungu. Na ulimwengu umewapa kisogo. Kati ya vitabu vyote vya Francis Schaeffer tuliona kwamba Alama ya Mristo unahitajika sana hapa Afrika Mashariki. Kwahiyo tulipenda kulitafsisi andiko hilo.