Mwandishi wa Kitabu hiki, Mch. Dr. Norvald Yri ni profesa wa Theologia ya Biblia katika chuo cha Theologia Makumira, Tanzania. Amejaribu dukuduku nyingi za wakristo kuhusu Roho Mtakatifu, uamsho, kuongozwa na kuendesha katika Roho, karama za Roho, na kadhalika. Kitabu hiki kinafaa kama kitabu cha kurejea (textbook) katika shule za Sekondari na vyuo mbalimbali vya Biblia, na hasa sharikani na mahali ambapo Biblia inasomwa.
...
Shukrani kwa James E. Sharp
Kimechangiwa na
Download free pdfs
eVitabu vya bure kwa somo
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana:
Browse all
No Books Found
Based on the filters you selected, there are currently no books.