You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Njoo Roho Mtakataifu
Ufanize Upya Maumbile Yote
Mchapishaji Beeline Printing Ltd., Nairobi
Mwaka 1991
sw
Kurasa 53
Kufatana na Msingi ambao makanisa yote yenye uanachama katika Baraza la Makanisa Duniani yamidhini, Baraza hilo ni "ushirika wa makanisa yanayomkiri Bwana Yesu Kristo akiwa Mungu na Mwokozi kufuatana na Maandiko Matakatifu, na kwa hiyo yanayojaribu kwa pamoja kutekeleza wito wao ulio mmoja kwa utukufu wa Mungu aliye mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu." Tumaini (maono ya umoja wa makanisa halikutoweka kupitia karne nyingi za kutengana na kugombana kati ya Wakristo. lakini mwishoni mwa karne ya kumi na tisa, watu wa sehemu kadhaa walisikia wito wa kuteneneza mitengano, ambayo wakati wote imedhuru ushuhuda wa Kikristo. Ndio mwanzo wa oikumene wa siku hizi ambao ushirika wa pekee wa Baraza la Makanisa Duniani una mizizi yake.
...
Toleo la Kiswahili, CCT Tanzania
...
Kimetafsiriwa na
Judie Mwarabu
Shukrani kwa Beeline Printing Ltd., Nairobi
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Kimechangiwa na
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all