Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Habari Njema: Agano Jipya Kitabu cha 5
Mchapishaji Chama cha Biblia cha Kenya & Chama cha Biblia cha Tanzania
Mwaka 1986
sw
Kurasa 30
Ndugu Msomaji, Kitabu unachoshika sasa ili kusoma ni kitabu kimojawapo katika mfululizo wa vitabu sita. Tunakushauri ujipatie vitabu vyote sita. Vitabu vyote vimeandikwa katika lugha nyepesi. Vitabu hivi vimekusudiwa kukusaidia kuongeza uwezo wako wa kusoma. Pia vimekusudiwa kukusaidia kuifahamu Biblia. Habari zote zilizomo katika vitabu hivi zimechukuliwa kutoka Agano Jipya linaloitwa "Habari Njema kwa Watu Wote." (Agano Jipya ni Sehemu ya Biblia.)
...
Shukrani kwa Chama cha Biblia cha Kenya & Chama cha Biblia cha Tanzania
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Kimechangiwa na
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.