Habari Njema: Agano Jipya Kitabu cha 5
Published Year: 1986
Language: sw
Summary: Ndugu Msomaji, Kitabu unachoshika sasa ili kusoma ni kitabu kimojawapo katika mfululizo wa vitabu sita. Tunakushauri ujipatie vitabu vyote sita. Vitabu vyote vimeandikwa katika lugha nyepesi. Vitabu hivi vimekusudiwa kukusaidia kuongeza uwezo wako wa kusoma. Pia vimekusudiwa kukusaidia kuifahamu Biblia. Habari zote zilizomo katika vitabu hivi zimechukuliwa kutoka Agano Jipya linaloitwa "Habari Njema kwa Watu Wote." (Agano Jipya ni Sehemu ya Biblia.)