Uongozi wa Shule na Usimamizi wa Fedha

Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Shule za Msingi

Published Year: 2003

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Mambo yanayochangia kufanya elimu inayotolewa kuwa bora ni mengi, lakini la muhimu zaidi ni ubora wa walimu... Kitabu hiki kimegawanywa katika sehemu mbili. Sehemu A inaelezea namna ya kuendesha shule kwa ufanisi. Sehemu B inaeleza namna ya kusimamia fedha za shule.