You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Sera ya Malezi ya Taifa kwa Watoto na Vijana Tanzania
Mchapishaji Chama cha Mapinduzi, Dodoma
Mwaka 1987
sw
Kurasa 60
Pakua
1.2 MB
Neno malezi au tendo la kumlea mtoto lina maana pana sana na kwa binadamu huanzia wakati wa mimba, kuzaliwa, utoto , ujana hadi utu uzima. Kumlea mtoto kuna maana ya kumtoa gizani kusiko na uhakika wala usalama na kumwongoza mwangani kwenye uzoefu wa wahenga, wazazi na jamii. Kumlea mtoto vile vile kuna maana ya kumpa mahitaji ya lazima, kama vile chakula , mavazi, malazi na matibabu na kumpatia mahitaji ya burdani kama vile michezo na vifaa vya kuchezea. Kulea kuna maana ya kum tunza mtoto , kumhifadhi na kumkinga dhidi ya madhara, magonjwa na maadui ili apate kukua akiwa na afya njema ya mwili na akili na aliyetengemaa kwa maono. Malezi pia yana maana ya kumwingiza mtoto katika jamii kwa kumfundisha maadili, mila na desturi za jamii , kumjengea fadhila na mwenendo mwema unaokubalika na jamii.
...
Shukrani kwa Chama cha Mapinduzi, Dodoma
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all