Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Hakimu Mwenye Busara na Hadithi Nyingine
Hadithi za Msingi
Kimeandikwa na S. Nyaki Chibudu
Mchapishaji General Printers Ltd. Nairobi
Mwaka 1979
sw
Kurasa 50
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo huu wa Hadithi za Msingi. Kusudi kubwa la kitabu hiki ni kuwapa watoto mazoezi ya kusoma na kuelewa hadithi hizi zenye busara. Katika kitabu cha kwanza kila hadithi ina funzo mwisho wako. Kitabu hiki cha pili mwalimu na mwanafunzi wanapaswa kutafuta funzo lifaalo kwa kila hadithi. Zaidi ya hivyo hiki kitabu cha pili hakin msamiati wa maneno mapya au magumu. Kwa hivyo ni juu ya mwalimu kuwafundisha watoto matumizi ya Kamusi ya Kiswahili.
...
ISBN: 9966466274
Shukrani kwa General Printers Ltd. Nairobi
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.