Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Nilichojifunza... What We Learned at the Library of Elimu Yetu
Mchapishaji Elimu Yetu
Mwaka 2022
Kurasa 395
Pakua
58.9 MB
What can we learn from books? Each person finds their own lessons in a book. You can read with friends and find that they learned something different from the book. You can read a great book many times and learn something new each time. This book is a collection of reflections from students of Elimu Yetu about what they learned at their library. Unaweza kujifunza nini kupitia vitabu? Watu hupata masomo tofauti tofauti katika kitabu kimoja. Ukisoma na marafiki, utaona kila mmoja amejifunza somo lake. Ukisoma kitabu kizuri mara nyingi utajikuta umejifunza kitu kipya kila mara. Kitabu hiki ni mkusanyiko ya maoni kutoka wanafunzi wa Elimu Yetu kuhusu mafunzo waliyopata kwa kusoma katika Maktaba yao.
...
This is a scanned edition with a large file size (about 60MB). We hope to type it and republish with a smaller filesize soon! Poleni
...
Shukrani kwa Elimu Yetu
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.