You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Jionyeshe Mwanamume
Kimeandikwa na Elihuruma Maruma
Mwaka 2019
sw
Kurasa 66
Pakua
0.3 MB
"Umezaliwa wa Kiume, Dhihirisha Uanaume" Dunia ya leo ina WANAUME wachache sana pamoja na kuwa na maelfu ya watu wa jinsia ya kiume. Ni wazi kwamba unaweza kuwa mtu mzima wa kiume lakini bado usiwe MWANAUME. Unaweza kuonekana mtu mzima wa kiume lakini ndani yako Wewe ni MVULANA. Hii ni kwa sababu UANAUME sio jinsia bali MAJUKUMU. Unaweza kabisa kuzaliwa wa kiume, lakini kuwa MWANAUME ni mchakato. Zipo hatua, malezi na mafunzo mbalimbali ya kujitambua na kutekeleza ili ufanyike MWANAUME kweli kweli.
...
Kitabu hiki kinasambazwa na Elimu Yetu bila malipo kwa idhini ya mwandishi, Bro. Elihuruma Maruma. Tunamshukuru sana.
...
Shukrani kwa Brother Elihuruma Maruma
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all