You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Ninaanzaje Sekondari Kwa Mafanikio
Kimeandikwa na Elihuruma Maruma
Mwaka 2021
sw
Kurasa 77
Pakua
0.4 MB
Kitabu Elekezi kwa Wanafunzi Wanaotarajia Kuanza Elimu ya Sekondari. Wakati ulipokuwa mdogo sana ilikuwa ni ngumu sana kwako kujua kwamba ipo siku utahitimu Elimu ya Msingi na kisha utaanza Elimu ya Sekondari. Chukulia ulipokuwa Chekechea, Je wakati huo ulishawahi kuwaza kwamba utakuja kusoma Elimu ya Sekondari? La hasha, Ila leo tayari wewe ni mwanafunzi aidha mtarajiwa au tayari upo shule fulani ya Sekondari.
...
Kitabu hiki kinasambazwa na Elimu Yetu bila malipo kwa idhini ya mwandishi, Bro. Elihuruma Maruma. Tunamshukuru sana.
...
ISBN: 978-9987-7894-0-5
Shukrani kwa Brother Elihuruma Maruma
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all