View this book in English Mount Kilimanjaro: Our Pride
Sign up for news and free books by email!
Mlima Kilimanjaro Fahari Yetu
Written by Bartholomew Meena
Publisher E&D Limited
Published 2016
sw
Pages 74
Mlima Kilimanjaro, Fahari Yetu kinaelezea mambo muhimu kuhusu Mlima Kilimanjaro. Kwa kutumia taarifa za wanasayansi watafiti waliochunguza barafuto za milima mikubwa duniani kwa muda mrefu,kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu ni kwa nini barafuto za Mlima Kilimanjaro zinapotea kwa kasi. Kinaelezea pia faida za mlima kwa jamii inayouzunguka na taifa kwa ujumla, pamoja na wajibu wetu katika kuhifadhi mazingira ya Mlima kilimanjaro ambao ni urithi kwa Watanzania wote. For English see Mount Kilimanjaro: Our Pride
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/mlima-kilimanjaro-fahari-yetu/ Category: Reference Books for Primary Schools
...
ISBN: 998773541X
Thank you to E&D Limited
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.