Historia Kuu ya Afrika - Juzuu 8 - Afrika Kuanzia 1935
Juzuu Lililofupishwa
Faster downloadPublished Year: 1999

Language: sw
Details: Toleo hili limefupishwa, kwa hiyo kuna tofauti kati ya toleo la Kiingerza (ambali halikufupishwa) na toleo la Kiswahili. CC BY-SA 3.0
Summary: Historia Kuu ya Afrika (kwa Kiingereza w: General History of Africa (GHA)) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha “maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa “kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” . Uliona Historia ya Afrika “imeharibiwa mno kutokana na kutokujua na ubinafsi wa watu walioiandika."