View this book in English General History of Africa - Volume 8 - Africa Since 1935
Historia Kuu ya Afrika - Juzuu 8 - Afrika Kuanzia 1935
Juzuu Lililofupishwa
Kimeandikwa na
Mchapishaji UNESCO, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)
Mwaka 1999
sw
Kurasa 639
Pakua
21.1 MB
Inaruhusiwa kunakili, kusambaza na kutafsiri bila malipo.
Historia Kuu ya Afrika (kwa Kiingereza w: General History of Africa (GHA)) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha “maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa “kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” . Uliona Historia ya Afrika “imeharibiwa mno kutokana na kutokujua na ubinafsi wa watu walioiandika."
...
Toleo hili limefupishwa, kwa hiyo kuna tofauti kati ya toleo la Kiingerza (ambali halikufupishwa) na toleo la Kiswahili. CC BY-SA 3.0
...
ISBN: 92-3-202500-0
Shukrani kwa UNESCO Digital Library
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.