You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Historia Kuu ya Afrika Juzuu 1 - Mbinu na Historia ya Awali ya Afrika
Kimeandikwa na Editor: Ki-Zerbo
Mchapishaji UNESCO, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)
Mwaka 1999
sw
Kurasa 349
Pakua
11.9 MB
Historia Kuu ya Afrika (kwa Kiingereza w: General History of Africa (GHA)) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha “maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa “kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” . Uliona Historia ya Afrika “imeharibiwa mno kutokana na kutokujua na ubinafsi wa watu walioiandika” [1] . Awamu ya kwanza hadi mwaka 1999 ilikuwa kuandika na kutoa vitabu 8 kuhusu Historia Kuu ya Afrika. Awamu ya pili tangu mwaka 2009 inalenga kuandaa muhtasari wa historia na vitabu pamoja na misaada kwa walimu wa shule.
...
Kimetafsiriwa na
Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)
ISBN: 92-3-102584-8
Shukrani kwa UNESCO Digital Library
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all