Hotuba hii ilitolewa Machi 1967 na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Julius K. Nyerere.
“Ni wazi wakati umefika sasa tufikirie sana juu ya swali hili: ‘Mpango wa Elimu Tanzania umewekwa kwa sababu gani-shabaha yake ni nini?”
-Julius K. Nyerere 1967
...