naitwa DUSTAN KITANDU mimi ni mwanafunzi wa elimu yetu ninapenda huduma ya elimu yetu nimetokea mkoa wa manyara pia Mimi Nina soma masomo ya computers: English; France pia Ninapenda kuwa nakipaji cha kuchezampira:kuigiza nakuchezamziki pia ningipenda kutoa shukurani kwa kujiunga na chuo cha elimu yetu tunashukuru kwa maktba ya elimu yetu na mkutubi mwalimu muhamasishaji katika vitabu na lugha ya kiingereza. Asanteni.