Karibuni kwenye Maktaba ya Elimu Yetu! Naitwa Brighid. Ujisikie huru kuwasiliana nami kama una maswali yoyote kuhusiana na tovuti hii. Pia ningependa kusikia maoni yako na ushauri. Nakutakia masomo ya thamani, mpendwa msomaji.
Welcome to the Elimu Yetu Library! My name is Brighid. Feel free to contact me if you have any questions about this website. Also I would love to hear your opinions and advice. I wish you valuable lessons, dear reader!
"The older I grow, the more I am convinced that there is no education which one can get from books and costly apparatus that is equal to that which can be gotten from contact with great men and women. Instead of studying books so constantly, how I wish that our schools and colleges might learn to study men and things!"
Kadri umri unavyokwenda ndivyo naamini zaidi hakuna elimu unayoweza kuipata kupitia vitabu na gharama kubwa ambayo ni sawa kama elimu unayoweza kuipata kwa kuwafahamu wanaume na wanawake bora. Badala ya kusoma vitabu tu sikuzote, natamani sana shule zetu na vyuo vyetu wajifunze kusoma watu na mambo!