Kanuni ya 1 Ukitaka Mapato Yako Yazidi Matumizi Yako

Language: sw
Summary: Kanuni ya 1 ukitaka Mapato yako yazidi Matumizi Yako: Ukibadilika Unavyoamini, Utabadilika Unavyosema, na hali yako ya maisha itabadilika vivyo hivyo. Kwa hiyo: Badilika unavyoamini juu ya uchumi, Utabadilika unavyosema juu ya uchumi, na Hali yako ya uchumi itabadilika vivyo hivyo.