Wokovu
Kipawa cha Mungu Kwako

Language: sw
Summary: Toleo Jipya na nyongeza! Zaidi ya milioni 8 vimeshachapishwa. "Wokovu: Kipawa cha Mungu Kwako" ni tafsiri ya kitabu cha Peter Youngren. Dk Peter Youngren ni mishonari, mchungaji, mwandishi na mwanzilishi wa shirika "World Impact Ministries (WIM)" shirika la wakristo linalofanya kazi katika mataifa zaidi ya mia.