Sign up for news and free books by email!
Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la 4
Publisher TIE
Published 2020
sw
Pages 189

Kitabu hiki kinalenga kukuendeleza katika kujenga stadi za kuhesabu, kuandika na kusoma huku ukijenga msingi wa Hisabati. Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na tatu zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Hisabati Darasa la Nne.

Sura zilizoainishwa katika kitabu hiki ni pamoja na namba nzima, namba za kirumi, mpangilio wa namba, kujumlisha namba, kutoa namba, kuzidisha namba, kugawanya namba, sehemu, wakati, fedha ya Tanzania, vipimo vya metriki, maumbo na takwimu. Kwa kujifunza sura hizi, utaweza kujenga stadi zitakazokuwezesha kubaini na kutatua matatizo katika mazingira yako kulingana na umri ulionao.

Hakikisha unafanya shughuli na mazoezi yote katika kitabu hiki ili uweze kupata umahiri uliokusudiwa. Shirikiana na wenzako katika kujifunza.

...
ISBN: 9789976617245
Thank you to TIE
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.