Maisha Yanayoongozwa na Malengo
Niko duniani kwa kusudi gani?
Published Year: 2002
Language: sw
Summary: Maisha Yaliyoongozwa Na Malengo ni zaidi ya kitabu tu; ni mwongozo wa safari ya kiroho. Mara unapo kuchukua safari hii, hutawahi kuwa sawa tena. Katika safari yako utapata majibu ya maswali matatu muhimu zaidi ya maisha: Swali la Kuwepo:
- Kwa nini mimi niko hai?
- Swali la Muhimu: Je! Maisha yangu ni muhimu?
- Swali la Kusudi: Kwanini niko hapa duniani?