Moduli Elimu ya Awali
Mchapishaji Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Mwaka 257
sw
Mafunzo kazini kwa mwalimu ni jambo la msingi sana ili kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji kufanyika kwa ufanisi. Mafunzo humuongezea mwalimu maarifa na stadi kulingana na mabadiliko yanayotokea siku hadi siku. Hivyo, ni muhimu kwako mwalimu wa elimu ya awali kupata mafunzo uwapo kazini. Mafunzo hayo yatakusaidia kujenga umahiri katika kutekeleza mtaala wa elimu ya awali kwa ufanisi na hivyo kuboresha kiwango cha elimu katika ngazi husika na ngazi nyingine zinazofuata.
...
Moduli 1- Utoaji wa Elimu ya Awali Moduli 2- Ukuaji na Ujifunzaji wa Mtoto wa Elimu ya Awali Moduli 3- Uchopekaji wa Masuala Mtambuka katika Mtaala wa Elimu ya Awali Moduli 4- Utekelezaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali
...
Shukrani kwa Taasisi ya Elimu Tanzania
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.