Hadithi za Esopo: Kitabu cha Kwanza

Faster download

Published Year: 1996

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Swahili version of Aesop's fables. Esopo alikuwa mtumwa kutoka Afrika aliyeishi katika nchi ya Uyunani, yaani Ugiriki ya sasa. Inasadikiwa kuwa Esopo alitoka nchi ya Ethiopia. Hadithi za Esopo ni ngano za kali zenye hekima nyingi; zimeandikiwa zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita hadithi hizi zemetafsiriwa upya kulingana na hali ya sasa.