Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya Kuhusu Huduma na Kinga Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia
Mchapishaji Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Mwaka 2013
sw
Pakua 1.0 MB
Ukatili wa kijinsia (UWAKI) ni tatizo la kiafya, kijamii na ni ukiukwaji wa haki za binadamu; pia ni tatizo kubwa linaloathiri afya ya jamii na husababisha madhara makubwa dhidi ya maisha ya watu hususan watoto, wanawake, wasichana na wavulana katika nchi nyingi duniani. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimekumbwa na tatizo hili kwa miaka mingi. UWAKI unarudisha nyuma juhudi zinazofanyika kupambana na kuzuia maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU) na kuboresha afya ya uzazi na mtoto. Kwa hali hii, sekta ya afya haina budi kuchukua hatua thabiti katika kuzuia matukio ya UWAKI na kuwapa huduma za afya wanaopata madhara ya UWAKI. Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya Kuhusu Kinga na Huduma Dhidi ya UWAKI umetayarishwa ili kuwawezesha watoa huduma kujihusisha zaidi katika jitihada za kuzuia UWAKI na kuwahudumia waathirika.
...
Shukrani kwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.